Skip to main content

Posts

Kimwaga Motor Works 2022

Kimwaga motor works Limited, the Best place to get your car repaired.

Recent posts

Kimwaga Motor Works ni suluhisho la Matatizo ya Magari Dodoma Mjini Maeneo ya Kizota

 Kama wewe Ni mmojawapo katika utumiaji wa Magari basi fanya hima kutembelea katika garage hiyo inayopatikana Maeneo ya Kizota Mkabala na Shule ya Msingi Kizota kwani wanawataalamu wabobezi katika kutatua kero mbalimbali za Magari pamoja na kuchonga vipuli na kama wewe unataka kupata huduma zao fanya hima fika hapo bila kukosa