Kama wewe Ni mmojawapo katika utumiaji wa Magari basi fanya hima kutembelea katika garage hiyo inayopatikana Maeneo ya Kizota Mkabala na Shule ya Msingi Kizota kwani wanawataalamu wabobezi katika kutatua kero mbalimbali za Magari pamoja na kuchonga vipuli na kama wewe unataka kupata huduma zao fanya hima fika hapo bila kukosa